Dunia yaunga mkono Palestina
IQNA-Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa limeidhinishwa kwa wingi wa kura azimio linatoa wito wa kusitishwa mapigano mara moja huko Gaza kwa sababu za kibinadamu.
Habari ID: 3478027 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/13
Azimio la Siku ya Kimataifa ya Quds
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran walioshiriki katika maandamano ya leo ya Siku ya Kimataifa ya Quds wametangaza kuwa Umoja ndio ufunguo wa kushinda njama za ubeberu wa kimataifa.
Habari ID: 3476865 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/14
Azimio la Bahman 22
TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Iran wametangaza katika azimio lao walilotoa mwishoni mwa maandamano ya Bahman 22 ya kwamba, kuwa kitu kimoja, kuungana, mshikamano, umoja wa kitaifa, kuwa na moyo mmoja makundi na matabaka na kushirikiana watu wa kaumu na dini zote nchini ni wajibu wa kidini na kimapinduzi na ndio mkakati muhimu zaidi wa kumshindia adui.
Habari ID: 3476544 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/11
TEHRAN (IQNA)- Kamati ya Nne ya Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa jana Jumanne ilipasisha ma azimio sita dhidi ya utawala haramu wa Israel licha ya upinzani mkali wa wawakilishi wa Marekani, Canada na Israel.
Habari ID: 3474537 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/10