poland

IQNA

IQNA – Kituo cha Utamaduni cha Kiislamu katika mji mkuu wa Poland, Warsaw, kimeshuhudia ushiriki mpana wa watu wa dini na tamaduni mbalimbali katika hafla ya “Usiku wa Makumbusho 2026” (Night of Museums 2026).
Habari ID: 3482278    Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/24

TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika kijiji cha Bohoniki nchini Poland sasa wanaongoza mkakati wa kuwasaidia wakimbizi katika eneo hilo linalopakana na Belerus.
Habari ID: 3474611    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28