TEHRAN (IQNA)- Mwili mtakatifu wa mwanazuoni mkubwa wa Kiislamu Ayatullah Safi Golpaygani umehamishiwa katika Msikiti wa Sheikh Tusi karibu na Haram ya Imam Ali bin Abi Twalib (AS) baada ya kuwasili katika mji mtakatifu wa Najaf.
Habari ID: 3474885 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/03