Waislamu India
        
        TEHRAN (IQNA)- Mfawidhi Haram Takatifu  ya Imam Ridha AS mjini Mashhad anasema umoja kati ya Waislamu na Wahindu ulikuwa muhimu katika kuwashinda wakoloni, na kuongeza kuwa hivi kuna njama za kupanda mbegu za ugomvi kati ya vikundi hivi vya India.
                Habari ID: 3475284               Tarehe ya kuchapishwa            : 2022/05/23