iqna

IQNA

maisha
Maisha Matakatifu (Hayat Tayyiba) /2
IQNA – Kwa mujibu wa mafundisho ya imani ya Kiislamu, wanadamu wanaonekana kuwa ni viumbe bora na wenye uwezo wa asili unaohitaji kutambuliwa na kukuzwa; pia inashikilia kwamba mtu anaweza kupata maisha matakatifu na yenye maana ambayo yataendelea baada ya kifo.
Habari ID: 3478075    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/22

Maisha Matakatifu (Hayat Tayyiba) /1
IQNA – Katika mafundisho ya Kiislamu, Hayat Tayyiba [ maisha matakatifu au yenye saada na yaliyobora] inahusu hali ya juu zaidi ya kuwepo zaidi ya mahitaji na matamanio ya kimsingi ya mnyama.
Habari ID: 3478063    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/20

Qur'ani Tukufu Inasemaje / 35
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inatilia maanani sana familia, kitengo kidogo zaidi cha kijamii, na imechota haki za usawa za wanaume na wanawake. Moja ya haki hizo ni kukidhi gharama za maisha na Uislamu umewapa wanaume jukumu hili.
Habari ID: 3476099    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/16

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Uislamu unasisitiza juu ya mwingiliano mzuri wa kiuchumi, ukisisitiza kwamba mtu anapaswa kujitahidi kupata pesa kwa nj ambazo ni ‘Halal’ au kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu.
Habari ID: 3475830    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23

Qur'ani inasema Nini / 4
TEHRAN (IQNA) - Vitabu vitakatifu katika dini mbali mbali mara nyingi huzingatiwa kama chanzo cha kuimarisha hali ya kiroho ya mtu na hii inaeleweka kama fikra ya mwongozo lakini Quran Tukufu ina misingi ya kipekee kuhusiana na nukta hii.
Habari ID: 3475320    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/31

Taasisi ya Hija na Ziara ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa rasmi ya takwimu za mwisho kuhusiana na Mahujaji wa Kiirani waliopoteza maisha yao katika maafa ya Mina na kubainisha kwamba, Wairani 464 wamethibitishwa kufariki dunia katika tukio hilo chungu.
Habari ID: 3377110    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/01

Mahujaji wa Nyumba Tukufu ya Mwenyezi Mungu wasiopungua 1,000 wamefariki dunia na wengine 1,500 wamejeruhiwa katika msongamano wa mahujaji wakati wa kutekeleza ibada ya Hija huko Mina karibu na Makka.
Habari ID: 3367053    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/24

Mahakama ya Misri leo imetoa hukumu ya mwisho dhidi ya aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Muhammad Mursi na viongozi wengine wa Harakati ya Ikhwanul Muslimeen iliyopigwa marufuku nchini humo.
Habari ID: 3315286    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/16