Mashindano ya Qur’ani barani Afrika
Mashindano ya kwanza ya Qur'ani barani Afrika yanatarajiwa kufanyika nchini Uganda mwezi Oktoba mwaka huu.
Habari ID: 3479014 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/26
Mafunzo ya Qur’ani Tukufu
Msikiti wa Mtume Muhammad (SAW) katika mji mtukufu wa Madina utakuwa na kozi za Qur'ani za majira ya kiangazi zinazoeleza mapema mwezi ujao.
Habari ID: 3479001 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/23
Mashindano ya Qur''ani
TEHRAN (IQNA) – Qari wa Misri ametwaa taji la toleo la pili la mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya "Awal Al Awail" nchini Qatar.
Habari ID: 3477886 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/13
STOCKHOLM (IQNA) – Mwanamume aliyepatikana na hatia ya kudhalilisha nakala ya Qu’rani Tukufu nchini Swedeni na kuweka video hiyo mitandaoni amewekwa hatiani kwa kuchochea chuki za kikabila dhidi ya Waislamu.
Habari ID: 3477728 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/14
Chuki dhidi ya Uislamu
Huku Waislamu katika kona zote za dunia wakiendelea kulaani na kupinga tukio la hivi karibuni la kuchomwa moto nakala ya Qur'ani Tukufu nchini Uswidi, Kitabu hicho kitukufu cha Waislamu kimechomwa moto na kutupwa nje ya Msikiti mmoja nchini Ujerumani.
Habari ID: 3477267 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/07/12
Sura za Qur'ani Tukufu /81
TEHRAN (IQNA) – Imesisitizwa katika vitabu vingi vya Uislamu na Qur'ani Tukufu kwamba matukio fulani yatatokea duniani mwishoni mwa dunia.
Habari ID: 3477071 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/05/30
Surah za Qur'ani / 7
TEHRAN (IQNA)- Mawazo na nadharia tofauti zimeelezwa kuhusu uumbaji wa mwanadamu na ulimwengu, lakini kwa mtazamo wa Kiislamu, Mwenyezi Mungu aliumba ulimwengu mzima na wanadamu katika kipindi fulani na wakati maalum; Kwa mujibu wa Uislamu, mwanadamu ameweka agano na Mwenyezi Mungu kabla ya kuumbwa awe khalifa au mrithi wa Mwenyezi Mungu katika ardhi.
Habari ID: 3475339 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/05