iqna

IQNA

Athari za Kijamii za Kufunga /1
IQNA – Wakati wa Mwezi Mtukufu Ramadhani, watu huwa wanakwenda misikitini mara kwa mara, kushiriki katika sala za jamaa, na hushikamana katika kufungua saumu.
Habari ID: 3480352    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/11

Maadili ya Mtu Binafsi / Hatari za Ulimi 7
IQNA - Buhtan (kusema uongo, kusingizia na pia kusengenya), ni kitendo ambacho hutendwa kwa ulimi n.k ili kuharibu sifa ya mtu na huchukuliwa kuwa ni dhambi kubwa katika Uislamu.
Habari ID: 3479563    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/08

Qur’anI na Jamii/2
IQNA – Kujikusanyia mali kwa wingi , kwa mujibu wa Qur’ani Tukufu, ni jambo ambalo limegawanywa katika kategoria mbili; manfuaa na madhara.
Habari ID: 3479414    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/10

Qur’ani na Jamii /1
IQNA – Kwa mujibu wa mafundisho ya Kiislamu, uwajibikaji wa ki jamii unarejelea mfululizo wa tabia na matendo ambayo watu huwafanyia wanadamu wenzao.
Habari ID: 3479360    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/31

Nidhamu Katika Qur’an/13
IQNA – Kile Uislamu unasema kuhusu nidamu ya ki jamii ni mbali zaidi ya kile ambacho wengine wanasema. Kwa mujibu wa Uislamu, nidhamu ya ki jamii uinapaswa kuwa kiasi kwamba haina madhara kwa uhuru wa mtu binafsi na uadilifu wa ki jamii .
Habari ID: 3478817    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/13

Qur'ani Tukufu Inasemaje/17
TEHRAN (IQNA) – Qur’ani Tukufu inadhihirisha kwamba matendo ya watu binafsi yana athari kubwa na ya moja kwa moja kwa jamii kwani haitoshi kutegemea sheria kali za ki jamii kwa ajili ya kurekebisha jamii ; badala yake, kuwe na juhudi za kukuza uelewa miongoni mwa wana jamii .
Habari ID: 3475495    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/12

Tumo katika kumbukumbu ya kufariki dunia Mtume wa mwisho wa Mwenyezi Mungu Muhammad al-Mustafa SAW. Hii leo imepita zaidi ya miaka 1400 tangu mbora huyo wa viumbe aage dunia; lakini jina la mtukufu huyo pamoja na utajo na shakhsia yake kubwa na adhimu na isiyo na mithili ingali inaleta hamasa katika nyoyo.
Habari ID: 2623557    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/20