IQNA-Hafidh wa Qur'ani Tukufu kutoka nchini Kuwait ametangazwa mshindi wa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani yaliyopewa jina la 'Bingwa wa Ma bingwa ' nchini Qatar.
Habari ID: 3470723 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/08
Bingwa wa ndondi raia wa Marekani mwenye asili ya Afrika, Muhammad Ali ameaga dunia akiwa na umri wa miaka 74.
Habari ID: 3470357 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/04