iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA) - Warsha ilifanyika hivi karibuni huko Jeddah, Saudia kuhusu uwekaji wa huduma za kidigitali katika mashirika ya ustawishaji uwekezaji katika nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC).
Habari ID: 3476321    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/28

Ulimwengu wa Kiislamu na Uchumi
TEHRAN (IQNA) – Nchi za Kiislamu, ambazo zinategemea mfumo wa kiuchumi wa nchi za Magharibi zimetakiwa kupanua biashara kati yao wenyewe.
Habari ID: 3476006    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/29

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Maisha ya mwanadamu katika ulimwengu huu ni mafupi sana na ndiyo sababu kila wakati anatafuta kufanya chaguo bora na kuwa na biashara yenye faida zaidi. Katika Qur'ani Tukufu, biashara na Mwenyezi Mungu imetambulishwa kama biashara bora zaidi.
Habari ID: 3475676    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/24

Kuhiji kwa mara ya kwanza ni ndoto iliyotimia kwa Abdi Mohammad, Mwislamu kutoka Kenya ambaye amekuwa akiuza viungo vya chakula kwa muda wa miaka 15 ili aweze kuchanga pesa za kumuwezesha kutimiza faradhi ya Hija katika mji mtakatifu wa Makkah.
Habari ID: 3366740    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/23

Kikao cha Kwanza cha Jumuiya ya Kimatiafa ya Wafanya biashara wa Nchi za Kiislamu kinafanyika katika kisiwa cha Kish kusini mwa Iran.
Habari ID: 1402843    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/05/04