chuki dhidi ya uislamu - Ukurasa 15

IQNA

IQNA: Kufuata hofu za hujuma za wenye chuki dhidi ya Uislamu, misikiti minne mikubwa nchini Uholanzi itafungwa wakati wa sala baada ya Waislamu sita kuuawa Canada walipokuwa wakiswali msikitini.
Habari ID: 3470828   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/01

IQNA: Chuki dhidi ya Waislamu na Uislamu zinaendelea kushika kasi Marekani huku msikiti mwingine ukiteketezwa moto katika katika jimbo la Texas.
Habari ID: 3470820   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/29

IQNA: Serikali ya Afrika Kusini imesema chuki dhidi ya Uislamu ndio chanzo cha hujumza mbili dhidi ya misikiti mjini Cape Town.
Habari ID: 3470793   Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/14

IQNA-Waislamu wawili wametimuliwa kutoka ndege ya shirika moja la Marekani mjini London baada ya wasafiri kadhaa Waingiereza kulalamika kuwa walimsikia mmoja wao akizungumza kwa lugha ya Kiarabu kwa simu.
Habari ID: 3470753   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/22

IQNA-Mbunge mwenye chuki dhidi ya Uislamu nchini Uholanzi amepatikana na hatia ya kuwatusi watu wenye asili ya Morocco na kuwabagua.
Habari ID: 3470728   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/09

IQNA-Viongozi wapatao 300 wa jamii ya Waislamu nchini Marekani wamemwandikia barua ya wazi Rais mteule wa nchi hiyo Donald Trump likiwa ni jibu kwa matamshi ya chuki aliyotoa dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3470721   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/06

IQNA-Zaidi ya zaidi ya vituo vya Kiislamu na misikiti 100 imehujumiwa nchini Uingereza katika kipindi cha miaka minne iliyopita.
Habari ID: 3470690   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/22

IQNA-Kumeshuhudiwa wimbi la hujuma dhidi ya Waislamu kote Marekani baada ya Donald Trump kutangazwa kuwa mshindi katika uchaguzi wa rais siku ya Jumanne.
Habari ID: 3470666   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/11/11

Mwanamke Mwislamu amehujumiwa na kuvuliwa Hijabu katika hujuma ya kibaguzi iliyojiri mjini London.
Habari ID: 3470607   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/10

Seneta Pauline Hanson wa Australia amekosolewa kwa matamshi yake yaliyojaa chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu.
Habari ID: 3470568   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/17

Wakaazii wa mji wa Tshwane nchini Afrika Kusini wamebainisha hasira zao baada ya kupatikana maandishi ukutani yenye kuwavunjia heshima Waislamu.
Habari ID: 3470566   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/16

Katika kitendo kingine cha chuki dhidi ya Waislamu, mwanamke aliyekuwa amevaa Hijabu ameshambuliwa na kuchomwa moto mjini New York, Marekani.
Habari ID: 3470562   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/14

Kituo cha Kiislamu katika jimbo la Florida Marekani kimeteketezwa moto na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3470561   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/13

Imam wa msikiti mmoja katika jimbo la New York nchini Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika hujuma ya kigaidi.
Habari ID: 3470522   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/14

Wanafunzi Wakristo nchini Zimbabwe wameshiriki katika warsha ya siku moja kuhusu Uislamu.
Habari ID: 3470510   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/09

Wanandoa Waislamu wamelituhumu Shirika la Ndege la Marekani la Delta Airlines kwa kuwa na chuki dhidi ya Uislamu baada ya kuwazuia kusafiri na ndege ya shirika hilo mjini Paris.
Habari ID: 3470497   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/06

Mamia ya watu, wakiwemo Waislamu na wasio Waislamu wameandamana Marekani kupinga chuki dhidi ya Uislamu na Waislamu au Islamophobia..
Habari ID: 3470470   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/24

Watu wasiopungua 50 wameuawa na wengine 53 kujeruhiwa katika ufyatuaji wa risasi uliotokea katika jimbo la Florida nchini Marekani.
Habari ID: 3470382   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/13

Ofisa mwenye cheo cha meja katika jeshi la Marekani amekamatwa baada kujaribu kuwaua msikitini na kuwazika hapo katika jimbo la Carolina Kaskazini.
Habari ID: 3470377   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/11

Waislamu nchini Marekani katika jimbo la New Mexico wametangaza kuimarisha harakati za kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3470364   Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/07