Aragchi katika mkutano na Rais Assad
IQNA-Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba matukio ya Syria ni sehemu ya njama za utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani dhidi ya eneo la Asia Magharibi.
Habari ID: 3479844 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/02
Ugaidi
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Yemen inayoongozwa na Harakati ya Ansarullah imelaani kitendo cha magaidi walifurishaji wa Al Qaeda kubomoa msikiti wenye umri wa miaka 700 katika mkoa wa Al Hudaydah nchini Yemen.
Habari ID: 3475486 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/10
TEHRAN (IQNA)- Watu 69 wameauwa katika shambulio lililofanywa na magaidi wakufurishaji wa kundi la kigaidi la Boko Haram katika jimbo la Borno kaskazini mashariki mwa Nigeria.
Habari ID: 3472853 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/10
TEHRAN (IQNA) -Watu 26 wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa kufuatia shambulio la kigaidi dhidi ya hoteli moja kusini mwa Somalia.
Habari ID: 3472041 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/13
TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa kundi la Al Shabab wameua watu 16 katika hujuma ya kigaidi iliyojiri leo Jumamosi katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3471781 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/22
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopuingua sita wamepteza maisha na Madrassah ya Qur'ani kuharibiwa katika hujuma ya kundi la kigaidi la Al Shabab katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3471658 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/03
Waziri wa Usalama Iran Mahmoud Alavi amesema magaidi wakufurishaji waliokamatwa hivi karibuni walipanga kutekeleza mashambulizi katika maeneo 50 kote Iran.
Habari ID: 3470409 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/06/22