IQNA – Kinachofuata ni qiraa au usomaji wa aya za 33-35 za Surah Maryam na qari maarufu wa Misri marhum Sheikh Abdul Basit Abdul Samad.
Habari ID: 3479952 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/25
Siku Kuu ya Krismasi
TEHRAN (IQNA) – Katika mnasaba wa siku ya kuzaliwa Nabii Isa ibn Maryam –Amani ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake-AS-, maonyesho ya kaligrafia yenye maandishi ya maandishi kuhusu Bibi Maryam (SA) yamezinduliwa na Shirika la Qur'ani la Wanaakademia wa Iran.
Habari ID: 3476305 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/25