iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya wanafunzi 80 Waislamu nchini Nigeria wametekwa nyara katika shambulizi la watu waliokuwa na silaha huko Kaskazini Magharibi mwa nchi hiyo inayokumbwa na ukosefu wa usalama.
Habari ID: 3474018    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/18

TEHRAN (IQNA)-Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapanga kuandaa mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya wanafunzi Waislamu katika mwezi wa Aprili sambamba na Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Iran.
Habari ID: 3471365    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/22

Duru ya tano ya mashindano ya kimatiafa ya Qur’ani ya wanafunzi wa shule yatafanyika nchini Iran mwezi Februari mwaka 2017.
Habari ID: 3470493    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/08/04

Kiongozi Muadhamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepuuzilia mbali madai ya Washington kuwa iko tayari kufanya mazungumzo na Iran juu ya masuala mbalimbali ya kieneo.
Habari ID: 3470430    Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/03

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, amesema wananchi wa Iran hawatoinyooshea mkono wa urafiki Marekani ambayo inatumia kila mbinu na hila kwa lengo la kuifuta Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3443189    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/03

TEHRAN-IQNA- Mashindano ya 5 ya Kimataifa ya Qur'ani ya Wanachuo Waislamu yamemalizika Jumapili mjini Tehran huku wawakilishi wa Iran na misri wakichukua nafasi za kwanza katika qiraa na hifdhi kwa taratibu.../mh 2671946
Habari ID: 2672141    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/05

Mwenyekiti wa Taasisi ya Jihadi ya Vyuo Vikuu nchini Iran amesema lengo la Mashindano ya Kimataifa ya Qur’ani ya Wanachuo Waislamu ni kuimarisha itikadi za wanafunzi wa vyuo vikuu katika ulimwengu wa Kiislamu ili kuhuisha umoja wa Waislamu kueneza ustaarabu mpya wa Kiislamu.
Habari ID: 2666237    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/01