iqna

IQNA

IQNA – Maandalizi ya maadhimisho a kumbukumbu ya kufa shahidi Imam Jawad (AS) katika mji mtakatifu wa Kadhimiya yalipitiwa upya katika mkutano wa hivi karibuni.
Habari ID: 3480724    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/23

TEHRAN (IQNA) – Kwa mujibu wa Mfawidhi wa Haram Takatifu za Al-Kadhimayn nchini Iraq, zaidi ya wafanyaziyara milioni 12 walitembelea eneo hilo takatifu alikozikwa Imam Kadhim (AS). Mjumuiko huo umefanyika kwa mnasaba wa kukumbuka kuuawa shahidi mtukufu huyo.
Habari ID: 3476577    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/17