TEHRAN (IQNA)-Mkurugenzi wa Jumba la Makumbusho la Qur’ani Tukufu katika mji wa Madina nchini Saudi Arabia limetembelewa na wageni milioni mbili katika kipindi cha miaka miwili iliyopita.
Habari ID: 3471118 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/08/11
TEHRAN (IQNA)-Nakala kubwa ya Qu'rani Tukufu yenye uzito wa kilo 154 imeonyeshwa katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3471079 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/22
Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma za kigaidi zilizojiri Jumatatu Saudi Arabia likiwemo ikiwemo karibu na Msikiti wa Mtume SAW katika mji mtakatifu wa Madina.
Habari ID: 3470434 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/05
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04
Maulamaa wa Iraq
Makhatibu wa Sala ya Ijumaa nchini Iraq wametoa wito wa kukarabatiwa makaburi ya Janatul Baqi ambayo yalibomolewa na utawala wa Aal Saud.
Habari ID: 3332765 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/07/25
Tarehe 25 Shawwal miaka 1287 iliyopita Imam Jafar Sadiq AS mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW aliuawa shahidi. Alizaliwa tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul na kipindi chake cha Uimamu kilianza mwaka 114 Hijria.
Habari ID: 1441613 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/08/21
Idara inayosimamia masuala ya Msikiti Mtakatifu wa Makka na Msikiti wa Mtume (saw) mjini Madina imegawa nakala milioni moja za tarjumi za Qur'ani kwa lugha 41 katika Masjidul Haram kwa mnasaba wa mwezi huu mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 1426540 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/06