Wanazuoni Mashuhuri wa Ulimwengu wa Kiislamu / 8
TEHRAN (IQNA) – Dkt. Fawzia al-Ashmawi alikuwa mwanazuoni ambaye alitumia maisha yake kueleza na kufafanua kuhusu hadhi ya wanawake katika Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476171 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/30
Habari za Madina
TEHRAN (IQNA) - Zaidi ya chupa milioni 2.2 za maji ya Zamzam ziligawiwa waumini waliofika katika Msikiti wa Mtume (Al-Masjid an-Nabawi) huko Madina katika robo ya kwanza ya mwaka huu wa Hijri.
Habari ID: 3476144 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25
Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) - Maelfu ya waumini wa dini tukufu ya Kiislamu kutoka kona zote za dunia wameendelea kuwasili katika mji mtakatifu wa Makka Ijumaa, wakiwa ni miongoni mwa Waislamu milioni moja wanaotarajiwa kushiriki ibada ya Hija mwaka huu wa 2022 ambapo hii ni mara ya kwanza baada ya miaka miwili ya kuzuia mahujaji kutoka nje ya Saudia kutokana na janga la Covid.
Habari ID: 3475446 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/01
Ripoti yafichua
TEHRAN (IQNA)- Mrithi wa ufalme wa Saudi Arabia, Mohammad Bin Salman, anatekeleza mpango ambao utawawezesha Waisraeli kununua milki katika miji mitakatifu ya Makka na Madina
Habari ID: 3475415 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23
TEHRAN (IQNA)-Tarehe tisa Shawwal ni kumbukizi ya namna Mawahhabi walivyombomoa makaburi ya Ahul Bayt wa Mtume SAW ya Jannatul Baqii katika mji mtakatifu wa Madina takribani miaka 96 liyopita.
Habari ID: 3475232 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/10
TEHRAN (IQNA)- Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW, Masjid an-Nabawi, mjini Madina umesajili watu 4,000 watakaoshiriki katika Itikafu wakati wa siku 10 za mwisho za Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3475156 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/22
TEHRAN (IQNA)- Msikiti wa Quba katika mji wa Madina, ambao ni Msikiti wa kwanza katika Uislamu, unatazamiwa kufanyiwa ukarabati mkubwa na kuongeza ukubwa wake mara kumi zaidi.
Habari ID: 3475098 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/04/08
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia ilithibitisha kwamba matangazo ya moja kwa moja ya au mubashara ya Misikiti Miwili Mitakatifu huko Makka na Madina yataendelea wakati wa mwezi wa Ramadhani baada ya marufuku iliyotangazwa awali kuzua ukosoaji.
Habari ID: 3475074 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/25
TEHRAN (IQNA)- Mijumuiko mkiubwa ya futari itaruhusiwa tena katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid Al Haram katika mwezi mtukufu wa Ramadhani baada ya kuzuiwa kwa muda wa miaka miwili kutokana na janga la COVID-19.
Habari ID: 3475045 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/15
TEHRAN (IQNA)- Zaidi ya lita milioni 1.2 za maji ya Zamzam zimesambazwa miongoni mwa wanaofanya ziara katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Masjid al-Haram) katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Habari ID: 3474552 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/13
TEHRAN (IQNA)- Waislamu duniani kote wamepata furaha tele kuona Sala ya Ijumaa katika Misikiti Mitakatifu ya Makka na Madina imerejea katika hali ya kawaida huku waumini wakiwa wamejaa kikamilifu
Habari ID: 3474460 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/23
TEHRAN (IQNA) – Shirika la Afya Duniani limeutangaza mji mtakatifu wa Madina kuwa miongoni mwa miji yenye hali bora zaidi ya afya duniani.
Habari ID: 3473599 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/01/28
TEHRAN (IQNA)- Waislamu kutoka nchi za kigeni ambao wamefika mjini Makka kwa ajili ya Ibada ya Umrah wametembelea Msikiti wa Mtume Muhammad SAW maarufu kama Al-Masjid an-Nabawi mjini Madina kwa mara ya kwanza baada ya miezi kadhaa.
Habari ID: 3473348 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/10
TEHRAN (IQNA) – Serikali ya Saudi Arabia imewaruhusu raia na wakaazi wa ufalme huo kuswali swala za jamaa za kila siku katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al Masjid Al Haram ).
Habari ID: 3473270 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/18
TEHRAN (IQNA) – Mvua kubwa na za ghafla zimeruhusiwa katika msikiti wa Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume SAW) katika mji wa Madina, Saudi Arabia, Jumapili jioni.
Habari ID: 3473030 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/03
TEHRAN (IQNA) - Kumezinduliwa Kampeni ya Kimataifa ya kutaka misikiti miwili mitakatifu ya Makka na Madina isimamiwe kimataifa na nchi za Kiislamu.
Habari ID: 3472817 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/30
TEHRAN (IQNA)- Msikiti Mtakatifu wa Makka (al-Masjid al-Ḥaram) na Msikiti Mtakatifu wa Mtume SAW (Al Masjid an Nabawi) mjini Madina, itaendelewa kufungwa kwa umma kwa ajili ya swala za jamaa hadi mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3472689 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/21
Hofu ya corona
TEHRAN (IQNA) – Saudi Arabia imetangaza sheria kali ya kutotoka nje katika miji mitakatifu ya Makka na Madina ikiwa ni sehemu za mkakati wa utawala huo wa kifalme kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472627 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/02
TEHRAN (IQNA)- Waislamu zaidi ya milioni mbili walifurika katika Msikiti Mkuu wa Makka (al-Masjid al-Haram) na Msikiti wa Mtume SAW (al-Masjid an-Nabawi) mjini Madina Jumatatu.
Habari ID: 3471556 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/13
TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Saudi Arabia imewapiga marufuku mahujaji na wafanyaziara kupiga picha au kuchukua video kwa kutumia chombo chochote katika Misikiti Miwili Mitakatifu ya Kiislamu ya Makka na Madina.
Habari ID: 3471279 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/25