IQNA

Picha za Misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa mandhari mazuri

16:16 - August 04, 2015
5
Habari ID: 3338961
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.

Katika ripoti hiyo ya gazeti la Daily Telegraph misikiti miwili ya Iran ya Masjid Sheikh Lotfollah mjini Isfahan na Masjid Nasirul Mulk mjini Shiraz pia imetajwa kati ya misikiti yenye usanifu majengo maridadi duniani.
Picha za Misikiti hiyo ni kama ifuatavyo.

 1.Masjid Sheikh Lotfollah, Isfahan, Iran

2.Masjid Nasirul Mulk, Shiraz, Iran

 3. Masjid Sultan Ahmed, Uturuki

4.Masjid Hagia Sophia Istanbul, Uturuki

5.Masjid Al Azraq, Cairo, Misri

6.Masjid ibn Tulun, Cairo

 7.Masjid Jamia Casablanca, Morocco
8.Masjid al Aqsa, Quds


 9.Masjid Haram, Makka

10.Masjid Nabawi, Madina

11.Masjid Ubudiah, Malaysia

 12.Masjid Sultan Salahuddin Abdul Aziz, Malaysia

13.Masjid Faisal Islamabad, Pakistan

14.Masjid Wazir Khan Lahore, Pakistan

 15.Masjid Badshahi Lahore, Pakistan

 16.Taj-ul-Masajid Bhopal, India

17.Masjid Jamia New Delhi, India

18.Masjid Sheikh Zayed Abu Dhabi, Imarati

19.Masjid Sultan Qaboos, Oman

20.Masjid Jamia Samarra, Iraq

 21.Masjid Mustafa Pasha, Cyprus

 22.Masjid Jamia, Damascus, Syria

23.Masjid Jamia Herat, Afghanistan


 

24.Masjid Cordoba, Uhispania

25.Masjid Koutoubia, Morocco

3338462

Imechapishwa: 5
Inatathminiwa: 0
Haiwezi kuchapishwa: 0
Bila jina
0
2
mashallah
Twaha Salum
0
1
Mwenyezi Mungu awazidishie
Twaha Salum
0
1
Ni vyema ukaweka akiba kwenye benki isiyobomolewa Jenga msikiti chimba kisima somesha na panda miti ya Matunda.
Twaha Salum
0
1
Kosea Kila kitu,usikosee kuoa au kuolewa
Twaha Salum
1
0
Everything is possible with Allah.
captcha