IQNA

Baraka ya mvua katika Masjid An-Nabawi mjini Madina + Video

22:20 - August 03, 2020
Habari ID: 3473030
TEHRAN (IQNA) – Mvua kubwa na za ghafla zimeruhusiwa katika msikiti wa Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume SAW) katika mji wa Madina, Saudi Arabia, Jumapili jioni.

Mapema idara ya hali ya hewa Saudia ilikuwa imetabiri kuwa kungekuwa na mvua ndogo na upepo katika mji mtakatifu wa Makka na maeneo matakatifu ya Mina, Arafat na Muzdalifa pamoja na miji wa Madina na Taif Jumapili.

3914356/

captcha