IQNA – Juhudi mpya za kuimarisha uelimishaji na uhamasishaji zimetangazwa ili kuwasaidia mahujaji na wageni waelewe vyema adabu za kuingia, kuswali na kutoa salamu kwa Mtume Muhammad (S.A.W.) katika Msikiti wa Mtume maarufu kama Al Masjid An Nabawi uliopo Madina.
Habari ID: 3482253 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/18
IQNA – Mamlaka zinazosimamia Msikiti Mkuu wa Makka na Msikiti wa Mtume mjini Madina zimeanza kutumia mfumo wa tafsiri ya papo kwa papo kwa lugha nyingi.
Habari ID: 3482249 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/17
IQNA – Mpango wa usomaji wa Qur’ani umeanzishwa katika maeneo ya maombi ya wanawake katika Msikiti wa Mtume (Al Masjid An Nabawi) huko Madina.
Habari ID: 3482245 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/16
IQNA – Wakazi wa Madina – raia na wasiokuwa raia – wanaotamani kupata thawabu ya kuwatumikia wageni wa Mwenyezi Mungu katika msimu wa Hajj mwaka huu sasa wamefunguliwa fursa mpya ya kujitolea.
Habari ID: 3482218 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/09
IQNA – Afisa wa Hija kutoka Iran ametangaza kuwasili kwa zaidi ya waumini 6,500 wa Kiirani mjini Madina kwa ajili ya kutekeleza Ibada ya Hija kufikia mwisho wa usiku wa Ijumaa.
Habari ID: 3482196 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/05/03
IQNA – Katika juhudi za kuhakikisha kuwa wahifadhi wa Qur’ani Tukufu wanaendelea kuihifadhi kwa uthabiti wa muda mrefu, Msikiti wa Mtume SAW (Masjid an-Nabawi) umezindua programu mpya na makini ya muraja‘a kupitia idara ya halaqa za kuhifadhi Qur’ani.
Habari ID: 3482146 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/04/17
IQNA – Kiwanda cha Mfalme Fahd cha Kuchapisha Qur’an kilichoko mjini Madina, Saudi Arabia, kilipokea wageni wapatao milioni moja kutoka ndani na nje ya nchi mwaka uliopita.
Habari ID: 3481779 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/01/07
IQNA – Mamlaka Kuu ya Masuala ya Misikiti Miwili Mitakatifu imetangaza mafanikio ya utekelezaji wa mazingira ya kidijitali katika Msikiti Mkuu wa Makka na Msikiti wa Mtume (SAW) mjini Madina.
Habari ID: 3481254 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/19
IQNA – Zaidi ya watu 97,000 kutoka mataifa mbalimbali walitembelea Kituo cha Uchapishaji Qur’ani cha Mfalme Fahd kilichopo Madina, Saudi Arabia mwezi Agosti 2025.
Habari ID: 3481178 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/09/03
IQNA – Karibu wamilioni 53 za ziara zilirekodiwa katika Msikiti Mkuu wa Makkah na Msikiti wa Mtume huko Madina katika mwezi mmoja uliopita wa Hijria Qamaria.
Habari ID: 3481162 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/31
IQNA – Idadi ya waumini wa Umrah wanaoingia katika jiji takatifu la Madina inaongezeka katika msimu mpya wa Umrah ulioanza baada ya Hija ya 2025.
Habari ID: 3481133 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/25
IQNA – Wosia wa Mtume Mtukufu Muhammad (SAW) kuhusu Ahlul-Bayt (AS), Qur’an Tukufu, na ulazima wa kulinda umoja wa Waislamu unaonyesha dira yake ya kujenga jamii yenye mshikamano na haki, amesema msomi mmoja.
Habari ID: 3481112 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/20
IQNA – Washiriki wa Mashindano ya 45 ya Kimataifa ya Qur’ani ya Mfalme Abdulaziz wametembelea misikiti ya kihistoria na maeneo ya turathi katika mji wa Madina, kama sehemu ya programu ya kitamaduni iliyoandaliwa na mamlaka za Saudi Arabia.
Habari ID: 3481108 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/19
IQNA – Warsha ya mafunzo kuhusu misingi ya Qira’at kumi za Qur’ani Tukufu imezinduliwa katika Msikiti wa Mtume (SAW) - Al Masjid an Nabawi, mjini Madina, Saudi Arabia.
Habari ID: 3480987 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/23
IQNA – Karibu watu milioni mbili waliswali katika Al-Rawdah Al-Sharif ndani ya Al Masjid An Nabawi (Msikiti wa Mtume) huko Madina wakati wa msimu wa Hija wa mwaka uliopita wa 1446 Hijria.
Habari ID: 3480965 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/19
IQNA – Maktaba ya Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi mjini Madina inafanya kazi kama taasisi ya umma inayotoa huduma mbalimbali kwa watafiti na wageni wanaovutiwa na turathi za Kiislamu.
Habari ID: 3480932 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/12
Mtazamo
IQNA – Mkataba wa Amani wa Hudaybiyyah uliosainiwa mwaka wa 6 AH (628 Miladia), uligeuka kuwa hatua ya kihistoria iliyoimarisha Uislamu kwa kubadilisha mvutano mkubwa kuwa mafanikio ya kidiplomasia yenye athari za muda mrefu, kwa mujibu wa msomi mmoja kutoka Iran.
Habari ID: 3480926 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/11
IQNA – Jumla ya milango 199 imewezeshwa ili kuboresha mtiririko wa Mahujaji wanaoingia na kutoka katika Msikiti Mkuu wa Makka, Masjid al Haram na Msikiti wa Mtume, Al Masjid an Nabawi, huko Madina wakati wa msimu wa Hija.
Habari ID: 3480768 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/31
IQNA – Uongozi wa Al Masjid an Nabawi (Msikiti wa Mtume) huko Madina umetangaza utekelezaji wa mpango wa kielimu wa kufundisha Qara’at Ashar (mitindo kumi ya usomaji wa Qur'ani) ndani ya msikiti huo.
Habari ID: 3480706 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/19
IQNA –Wananchi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanaoelekea katika ibada ya Hija nchini Saudi Arabia mwaka huu wanatarajia kuanza safari yao wiki ijayo, kulingana na
Habari ID: 3480612 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/29