TEHRAN (IQNA) - Rais wa Iran Ebrahim Raeisi, katika mazungumzo ya simu na Mwanamfalme wa Saudia Mohammed bin Salman, alisisitiza haja ya ushirikiano wa nchi za Kiislamu ili kukomesha jinai za Israel dhidi ya Wapalestina.
Habari ID: 3477722 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/10/12
Uhusiano wa nchi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia wamekutana Alhamisi katika mji mkuu wa China Beijing na kukubaliana kufunguliwa ofisi za uwakilishi wa nchi mbili na kusisitiza utayari wao wa kuondoa vizuizi vinavyokwamisha kupanuliwa mashirikiano baina ya Tehran na Riyadh.
Habari ID: 3476824 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/07
Mufti wa Oman
TEHRAN(IQNA)- Mufti wa Oman Sheikh Ahmad bin Hamad Al-Khalili amesisitiza haja ya kudumishwa amani na utangamano katika eneo la Ghuba ya Uajemi na kubainisha kwamba, makubaliano na mapatano yaliyofikiwa kati ya Iran na Saudi Arabia yameutia hofu na kiwewe utawala haramu wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3476726 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/18
Umoja wa Nchi za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) - Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) wamepongeza makubaliano ya hivi karibuni kati ya Iran na Saudi Arabia ya kurejesha uhusiano wa kidiplomasia.
Habari ID: 3476718 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/17