IQNA – Mamlaka katika mji mtukufu wa Madina zimeripoti kuwa tani 3,360 za maji ya Zamzam zimetumiwa katika Msikiti wa Mtume au Al Masjid An Nabawi ndani ya kipindi cha siku 15.
Habari ID: 3480784 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/06/03
Tani 400 za maji ya Zamzam hutolewa kwa Msikiti wa Mtume huko Mjini Madina kila siku wakati wa msimu wa Hija.
Habari ID: 3477201 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/27
Mwezi wa Ramadhani
TEHRAN (IQNA) – Maafisa wa Saudi Arabia wanasema zaidi ya lita milioni 40 za maji ya Zamzam zitasambazwa katika Msikiti Mkuu wa Makka (Masjid al-Haram) miongoni mwa Mahujaji katika mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Habari ID: 3476720 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/03/17