Waislamu Marekani
TEHRAN (IQNA) – Jiji la Minneapolis limekuwa jiji la kwanza kubwa la Marekani kuruhusu utangazaji bila vikwazo wa wito wa Waislamu wa Sala yaani Adhana kwa sauti inayosikika nje ya msikiti mara tano kwa siku mwaka mzima.
Habari ID: 3476872 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/15