Watu watano wameuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa huko Misri katika mapigano yaliyozuka kati ya askari usalama na wafuasi wa Mohamed Morsi Rais halali wa nchi hiyo aliyepinduliwa na jeshi mwezi Julai mwaka huu.
Habari ID: 1348050 Tarehe ya kuchapishwa : 2013/12/29