iqna

IQNA

Sheikh Muhammad Rashid Qabbani Mufti wa Lebanon amesema kuwa, Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel zinazusha fitina katika nchi za Kiarabu ikiwemo Lebanon na kuongeza kwamba fitina hizo ni sehemu ya Mpango wa Mashariki ya Kati Mpya lakini mpango huo hautafaulu.
Habari ID: 1367878    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/01/29