iqna

IQNA

Sayyid Hassan Nasrallah
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah nchini Lebanon amesema kuwa watu wanaofikiri kwamba kwa kuanzisha vita vya kisaikolojia na vitisho wataweza kuzuia kufanyika maombolezo ya Aba Abdillah Imam Hussein AS wanajidanganya, kwani vitisho hivyo havitawatenganisha na Imam Hussein AS.
Habari ID: 1463834    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/26

Katika sala ya Ijumaa Tehran
Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran ameionya Saudia Arabia kuhusiana na hukumu ya kifo dhidi ya mwanazuoni mashuhuri wa Kishia nchini humo Ayatullah Sheikh Nimr Baqir al-Nimr.
Habari ID: 1463465    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/25

Taasisi ya Imam Hussein AS katika eneo la Bugiri Mashariki mwa Uganda ni moja ya vituo muhimu zaidi vya kuhubiri Uislamu na maarifa ya Ahul Bayt AS katika eneo hilo.
Habari ID: 1432798    Tarehe ya kuchapishwa : 2014/07/23