IQNA – Mkutano wa Kimataifa kuhusu "Haki za Binadamu kwa Mtazamo wa Mashariki" unatarajiwa kufanyika tarehe 27 Aprili, 2025, jijini Tehran, na utaendelea tarehe 28 na 29 Aprili katika Chuo Kikuu cha Baqir al-Olum mjini Qom.
Habari ID: 3480539 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/14
Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah amesema, migogoro inayoendelea hivi sasa Mashariki ya Kati ina lengo la kuchora upya ramani ya eneo hili.
Habari ID: 1462702 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/10/21