Shirika la Kimataifa la Habari za Qur'ani (IQNA) imepata zawadi ya shirika bora la habari za kidini katika Maonyesho ya 21 ya Habari na Mashirika ya Habari mjini Tehran.
Habari ID: 3449242 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14
Waislamu nchini Kenya wanataka vyombo vya habari nchini humo vifanye mabadiliko ya kimsingi kuhusu namna vinavyo tangaza habari kuhusu ugaidi na kuonya kuwa mfumo wa sasa usio wa kitaalamu wa kutangaza habari ni chanzo cha chuki dhidi ya Uislamu katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
Habari ID: 2617613 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/11