Tehran-IQNA- Waislamu nchini Uganda Jumamosi iliyopita waliadhimisha Maulid (kumbukumbu ya kuzaliwa ) Bwana Mtume Muhammad SAW huku wakitoa wito wa amani na umoja katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki inayokumbwa na migawanyiko miongoni mwa Waislamu.
Habari ID: 2677812 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/01/06