iqna

IQNA

Askari wa Bahrain wamewashambulia wananchi waliokuwa wakiandamana kwa amani kwa mnasaba wa kumbukumbu ya uingiliaji wa kijeshi wa Saudi Arabia nchini Bahrain, wananchi wa Bahrain wamejitokeza mitaani kulalamika na kupinga kuwepo vikosi vamizi vya Saudi Arabia katika nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi.
Habari ID: 3001292    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/17