Baraza la Fatwa Ulaya
Barani Ulaya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unatazamiwa kuanza Alkhamisi Juni 18. Tangazo hilo limetolewa na Baraza la Fatwa na Utafiti Ulaya (EFCR) kwa mujibu wa mahesabu ya kifalaki.
Habari ID: 3311365 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/06/06