Idara ya Mfalme wa Saudi Arabia, Salman bin Abdul Aziz imelizuia shirika la ujenzi la Bin Ladin kuendelea na shughuli zake za ujenzi nchini humo baada ya kutokea ajali ya kreni auwinchi iliyopelekea zaidi ya mahujaji 107 kufariki dunia mjini Makka.
Habari ID: 3363334 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/16
Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu amesema uzembe uliofanywa na serikali ya Saudi Arabia ndio uliosababisha tukio la maafa yaliyotokea katika mji mtukufu wa Makka.
Habari ID: 3362440 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/09/14