Mtukio ya Karbala
Mji mtakatifu wa Karbala katika mkesha wa Ashura ulikuwa na mazuari mamilioni ya Wafanya Ziyara wakiomboleza kuuawa shahidi Imam Hussein (AS) na masahaba zake.
Habari ID: 3479140 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17
Imam Hussein (AS)
Ushahidi bora zaidi wa msingi wa Qur'ani wa mauaji ya Imam Hussein (AS) unaweza kupatikana katika wasia wake ulioandikwa kwa ndugu yake Muhammad ibn al-Hanafiyya.
Habari ID: 3479104 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/11
Waislamu kutoka pembe mbalimbali za dunia leo wamehuisha kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume Mtukufu SAW huku watu milioni 26 wakiripotiwa kufika Karbala, Iraq hadi sasa kwa ajili ya maombolezo hayo.
Habari ID: 3459439 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/02
Katika jitihada za kuleta umoja baina ya Waislamu wa madhehebu ya Shia, kumefanyika Majlisi za maombolezo Mwezi wa Muharram katika msikiti wa Masunni ambapo khatibu alikuwa ni mwanazuoni wa Kishia katika Kituo cha Kiislamu cha Dearborn, Michigan nchini Marekani.
Habari ID: 3391260 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/21