IQNA - Iran inafikiria kutoa pendekezo la kuanzisha sekretarieti ya kimataifa kwa waandaaji wa mashindano ya Qur’ani Tukufu ya kimataifa ili kukuza ushirikiano kati ya nchi zinazohost mashindano hayo.
Habari ID: 3480184 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/09
IQNA – Raghib Mustafa Ghalwash, msomaji mashuhuri wa Qur’ani kutoka Misri na mmoja wa wasomaji wenye ushawishi mkubwa wa kisasa, anajulikana kwa majina kama "Plato wa Melodi za Qur’ani na "Msomaji Mdogo Zaidi wa Enzi ya Dhahabu ya Usomaji".
Habari ID: 3480163 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/02/05
Ahmed Refaat Afariki Dunia
Mchezaji wa kimataifa wa Misri Ahmed Refaat alifariki kutokana na matatizo baada ya mshtuko wa moyo.
Habari ID: 3479088 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/08
Mwenyezi Mungu, katika Surati Al-Bayyina, anaielezea Qurani Tukufu kama kitabu chenye thamani ambacho kina sheria za milele za mwongozo.
Habari ID: 3477205 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/27
Ifahamu Qur'ani Tukufu/6
TEHRAN (IQNA) – Taa zote zilizopo hapa duniani zitazimika siku moja. Hata jua halitaangaza tena siku ya kiama itakapokuja.
Habari ID: 3477138 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/12
TEHRAN (IQNA) Hisham Barzeq ni Mpalestina mwenye umri wa miaka 68 ambaye ana chumba kidogo katika moja ya misikiti huko Gaza.
Habari ID: 3477096 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/06/04
Maulama na wasomi wakubwa walioshiriki katika kongamano la pili la kimataifa la 'Kuitafakari Qur'an i' lililomalizika nchini Morocco wamelaani vitendo vya ugaidi na makundi yenye misimamo mikali inayokinzana na mafundisho sahihi ya kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3421794 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/31