Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka serikali ya Nigeria kuwaheshimu viongozi wa kidini na maeneo matakatifu, siku moja baada ya jeshi la nchi hiyo kumkamata kiongozi wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini humo Sheikh Ibrahim Zakzaky, baada ya kutekeleza hujuma nyumbani kwake kaskazini mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3463095 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/14