TEHRAN (IQNA)- Shule moja ya Waislamu kati mwa Sweden imeshambuliwa na watu wasiojulikana.
Habari ID: 3473737 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/15
TEHRAN (IQNA) – Mahakama nchini Sweden imeondoa marufuku ya vazi la Kiislamu la Hijabu katika shule za mji mmoja wa kaskazini mwa nchi hiyo ya bara Ulaya.
Habari ID: 3473371 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/18
TEHRAN (IQNA) – Waislamu katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm wameshiriki katika maadhimisho ya kukumbuka siku ya kuzaliwa (Maulid) Mtume Muhammad SAW na pia uzawa wa mjukuu wake, Imam Jaafar Swadiq AS.
Habari ID: 3473322 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/02
TEHRAN (IQNA)- Vijana kadhaa wa Sweden wenye misimamo ya kufurutu mpaka wamefanya kitendo cha kishenzi cha kuivunjia heshima Qur'ani tukufu kwa kuchukua msahafu na kuuchoma moto mbele ya jengo la bunge la nchi hiyo.
Habari ID: 3473293 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/10/25
TEHRAN (IQNA) –Waislamu nchini Sweden wametaka katiba ya nchi hiyo ifanyiwe marekenisho iliiwe na kipengee cha kupiga marufuku kuvunjiwa heshima matukufu ya kidini.
Habari ID: 3473168 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/14
TEHRAN (IQNA) –Wajumbe wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) leo wametoa taarifa ya pamoja na kulaani vikali kujunija heshima Mtume Muhammad SAW pamoja na Qur’ani Tukufu barani Ulaya.
Habari ID: 3473161 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/12
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu limelaani kitendo cha jarida la Ufaransa la Charlie Hebdo cha kumvunjia heshima tena Bwana Mtume Muhammad SAW na vile vile kitendo kichafu kilichofanywa nchini Sweden cha kuuchoma moto nakala ya Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3473145 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/07
Sheikh Mkuu wa Al Azhar
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Mkuu wa Al Qur’ani amelaani vikali vitendo vya kuvunjiwa heshima Qur’ani Tukufu na kutaja vitendo hivyo vilivyo dhidi ya dini kuwa ni jinai ya kigaidi.
Habari ID: 3473143 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/06
Ayatullah Nouri Hamedani
TEHRAN (IQNA)- Mwanazuoni wa ngazi za juu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuivunjia heshima Qur'ani Tukufu ni njama za vituo vya kifikra vya Utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani katika fremu ya kueneza chuki na hofu dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3473142 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/06
TEHRAN (IQNA) – Chuo Kikuu cha Al Azhar nchini Misri kimeanzisha kampeni maalumu ya kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia).
Habari ID: 3473126 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/01
THERAN (IQNA) msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Pakistan ameashiria kuhusu vitendo hivyo vya kuchomwa moto nakala za Qurani Tukufu katika nchi za Sweden na Norway, huku akitoa indhari kuhusu wimbi jipya la chuki dhidi ya Uislamu barani Ulaya.
Habari ID: 3473124 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31
TEHRAN (IQNA) - Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) sambamba na kulaani hatua ya kuvunjiwa heshima na kuchomwa moto nakala ya Qurani Tukufu nchini Sweden na kusema kitendo hicho kilichofanywa na wafuasi wenye misimamo iliyochupa mipaka wa mirengo ya kulia katika nchi hizo za Ulaya ni cha kichokozi na kichochezi.
Habari ID: 3473123 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/31
TEHRAN (IQNA) – Maandamano makubwa yameibuka kusini mwa Sweden Ijumaa usiku baada ya mwanasiasa wa Denmark anayepinga Uislamu kuzuiwa kuhudhuria hafla ya kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3473115 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/29
TEHRAN (IQNA) – Kituo cha Kiislamu cha Imam Ali AS mjini Stockholm, Sweden kimeandaa mashindano ya Qur’ani Tukufu kwa njia ya intaneti .
Habari ID: 3472763 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/13
TEHRAN (IQNA) -Misikiti nchini Sweden ilishambuliwa mara 38 mwaka 2017, ikiwa ni ongezeko la mara 10 ya vitendo hivyo vya chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471557 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/06/14
TEHRAN (IQNA)- Msikiti katika mji mkuu wa Sweden, Stockholm, umehujumiwa na kuandikwa maandishi na nembo za kibaguzi siku ya Alhamisi.
Habari ID: 3471441 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/23
TEHRAN (IQNA)-Msikiti umeteketezwa moto katika mji wa Orebro kusini mwa Sweden katika tukio ambalo linaaminika kutekelezwa na watu wenye chuki dhidi ya Uislamu.
Habari ID: 3471194 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/26
TEHRAN (IQNA)- Mashidano ya 5 ya Qur'ani Tukufu yemamalizika Stockholm nchini Sweden Jumapili kw akutangazwa washindi.
Habari ID: 3471166 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/11
TEHRAN (IQNA)-Mwanasiasa wa cha chama cha Democrats nchini Sweden amewakasirisha wengi kwa kuivunjia heshima Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 3471165 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/10
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na Waziri Mkuu wa Sweden
IQNA-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, matatizo yote ya eneo la Mashariki ya Kati ni uingiliaji wa baadhi ya madola makubwa ikiwemo Marekani katika masuala ya ndani ya eneo hili.
Habari ID: 3470844 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/11