TEHRAN (IQNA) – Rais Bashar al Assad wa Syria leo asubuhi ameshiriki katika Sala ya Idul Adha iliyofanyika katika Msikiti wa al-Afram mjini Damascus.
Habari ID: 3472078 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/08/11
TEHRAN (IQNA)- Maelfu ya Wapalestina Jumanne wameswali Sala ya Idul Adha katika Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3471642 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/22
TEHRAN (IQNA)- Rais Mohammad Ashraf Ghani wa Afghanistan ametangaza usitishwaji vita wenye masharti na kundi la wanamgambo wa Taliban kabla ya SIku Kuu ya Idul Adha kuanzia Jumatatu.
Habari ID: 3471637 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/08/20
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu duniani salamu za kheri na fanaka kwa munasaba wa siku kuu ya Idul Adha.
Habari ID: 3470559 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/12