IQNA – Baladi Omar, qari mashuhuri wa Qur’ani kutoka nchi ya Ivory Coast ya Afrika Magharibi, ameshiriki katika kampeni ya Qur’ani ya “Fath” kwa kusoma aya nne za mwanzo kutoka Surah al-Fath kwa tartili.
Habari ID: 3480950 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/15
Rais wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna ulazima wa kutumia njia za kiutamaduni na kiuchumi kukabiliana na ugaidi.
Habari ID: 3470617 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/17