TEHRAN (IQNA) –Rais Bashar al Assasd wa Syria amesema Marekani inahitaji uwepo wa magaidi , hasa wa ISIS, katika eneo la Asia Magharibi na imetumia vikwazo vya hivi karibuni dhidi ya Syria ili kuwaunga mkono magaidi .
Habari ID: 3473067 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/14
TEHRAN (IQNA) – Wizara ya Mambo ya Ndani ya Libya imetangaza kuwakamata magaidi wa kundi la ISIS au Daesh karibu na mji mkuu wa nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3472939 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/07
TEHRAN (IQNA) – Watu wasiopungua watano wameuawa na wengine kadhaa wamejeruhiwa kufuatia hujuma za kigaidi nchini Somalia.
Habari ID: 3472927 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/04
TEHRAN (IQNA) - Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema nchi za Ulaya na Marekani ni washirika wa kundi la kigaidi la Munafikin (MKO) katika mauaji ya watu wa Iran.
Habari ID: 3472909 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/29
TEHRAN (IQNA) - Kundi la Taliban limetoa taarifa na kusema hujuma dhidi ya misikiti nchini Afghanistan zinatekelezwa na mashirika ya kijasusi ya maadui.
Habari ID: 3472861 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/06/13
TEHRAN (IQNA) - Jeshi la Misri limesema askari wake 15 wameuawa katika mapigano makali na magaidi ambapo magaidi 126 wakufurishaji pia wameuawa mashariki mwa nchi.
Habari ID: 3472728 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/03
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA) - Waislamu wasiopungua 62 wameuawa na wengine zaidi ya 100 wamejeruhiwa katika hujuma kadhaa za kigaidi zilizotokea leo ndani ya msikiti wakati wa Sala ya Ijumaa katika mkoa wa Nangarhar mashariki mwa Afghanistan.
Habari ID: 3472176 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/10/18
TEHRAN (IQNA) - Maafisa 10 wa polisi wameuawa baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini katika kaunti ya Wajir, katika eneo la kaskazini mashariki mwa Kenya.
Habari ID: 3472002 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/06/15
TEHRAN (IQNA)- Magaidi wameua watu wasiopungua 207 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 500 katika wimbi kubwa la hujuma ambazo zimelenga makanisa na mahoteli nchini Sri Lanka .
Habari ID: 3471923 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/04/21
TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wanaopata himaya Uingereza na Saudi Arabia wameshambulia gwaride ya kijeshi katika mji wa Ahvaz kusini mwa Iran na kuua shahidi watu kadhaa wakiwemo wanawake na watoto.
Habari ID: 3471685 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/09/22
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wakufurishaji wa Boko Haram wameuawa Waislamu 5,247 katika jimbo la Adamawa nchini Nigeria kati ya mwaka 2013 na 2017, ripoti ya shirika moja la Kiislamu imefichua.
Habari ID: 3471341 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/03
TEHRAN (IQNA)-Itikadi ya Uwahhabi imetajwa kuwa chanzo cha ongezeko la ugaidi na chuki dhidi ya Uislamu Nigeria.
Habari ID: 3471240 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/31
TEHRAN (IQNA)-Magaidi wa wakufurishaji wamehujumu kwa mabomu Kituo cha Qur'ani katika mkoa Idlib kasskazini magharibi mwa Syria na kuua watu 8 na kuwajeruhi wengine 16.
Habari ID: 3471053 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/06
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)- Hujjatul Islam Seyed Mehdi Taqavi mkurugenzi wa zamani wa Shirika la Habari za Qur'ani la Kimataifa (IQNA), ni kati ya watu waliouawa shahidi katika hujuma ya kigaidi katika Bunge la Iran.
Habari ID: 3471012 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/07
IQNA-Mabomu mawili yamelipuka katika mji mkuu wa Syria Damascus katika eneo lililo karibu na Haram ya Bibi Sakina SA na kupelekea wafanya ziara wasiopungua 45 kuuawa shahidi.
Habari ID: 3470889 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/11
Waziri wa Ulinzi wa Iran
IQNA: Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema muungano wa Wamagharibi wa kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati ni hatua ya kimaonesho na ya hadaa.
Habari ID: 3470765 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/29
Sayyid Hassan Nasrallah
IQNA-Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah amesema magaidi wakufurishaji wanaotenda jina magharibi mwa Asia na Afrika hawana uhusiano wowote na Uislamu wala Matume Mtukufu Muhammad SAW.
Habari ID: 3470759 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/12/25
Spika wa Bunge la Iraq
Spika wa Bunge la Iraq amesema Umma wa Kiislamu unakabiliwa na hatari kubwa kutokana na makundi ya wenye misimamo mikali nay a kufurutu ada.
Habari ID: 3470628 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/10/22
Wanajeshi Wairaqi wamekuwa na kikao maalumu cha kusoma Qur’ani katika huko Saad al A’adhim katika mkoa wa Diyala, eneo ambalo wamelikomboa hivi karibuni kutoka kundi la kigaidi la ISIS au Daesh.
Habari ID: 3470483 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/29
Jeshi la Misri limeushambulia kwa misingi msikiti mmoja katika Rasi ya Sinai, na kuharibu sehemu za msikiti huo.
Habari ID: 3470471 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/07/24