TEHRAN (IQNA)- Magaidi wakufurishaji wa al Shabab wameshambuia mji mmoja wa karibu na Mogadishu, mji mkuu wa Somalia na kuua watu wasiopungua saba.
Habari ID: 3474747 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/31
TEHRAN (IQNA) - Kwa uchache watu 8 wameuawa na wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa hii leo katika mlipuko wa bomu lililokuwa limetegwa ndani ya gari karibu na shule moja katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3474598 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/25
TEHRAN (IQNA)- Kundi la kigaidi la ISIS limetoa taarifa na kudai kuwa limehusika na hujuma za kigaidi nchni Uganda Jumanne.
Habari ID: 3474575 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/18
TEHRAN (IQNA)- Televisheni ya taifa ya Syria imetangaza kuwa askari 14 wa jeshi la nchi hiyo wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika shambulio la bomu lililolenga basi lililokuwa limebeba askari hao mapema leo.
Habari ID: 3474449 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/20
TEHRAN (IQNA)- Kwa uchache watu 10 wameuawa katika shambulizi la magaidi wakufurishaji walilolenga msikiti wa kijiji kimoja huko magharibi mwa Niger.
Habari ID: 3474421 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/14
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe kufuatia kuuawa shahidi na kujeruhiwa idadi kubwa ya watu wasio na hatia nchini Afghanistan.
Habari ID: 3474400 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/09
TEHRAN (IQNA)- Kikosi Maalumu cha Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) jana Jumatatu kiliua wanachama saba wa genge la kigaidi la al Shabab wakati kikosi hicho kilipoendesha operesheni maalumu za kuwasaka magaidi hao katika eneo la Shabelle la kusini mwa Somalia.
Habari ID: 3474385 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/05
TEHRAN (IQNA)- Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa jeshi la nchi yake limemuangamiza Adnan Abou Walid al-Sahrawi, kinara wa tawi kundi la kigaidi la ISIS au Daesh Magharibi mwa Afrika (ISWAP).
Habari ID: 3474302 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/09/16
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua kumi wameuawa baada kundi la kigaidi la Al Shabab kutekeleza hujuma katika mghahawa mmoja wenye shughuli nyingi kwenye makutano ya barabara ya Jubba, katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
Habari ID: 3474067 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/07/03
TEHRAN (IQNA)- Harakati ya wapiganaji wa kujitolea wa wananchi wa Iraq maarufu kama Al Hashd al Shaabi (PMU) imefanya gwaride kubwa lililopewa jina la 'Idi ya Hashd' siku ya Jumamosi 26 Juni kwa mnasaba wa mwaka wa saba wa kuanzishwa kwake.
Habari ID: 3474050 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/06/28
TEHRAN (IQNA)- Watu wasiopungua 12 wameuawa na wengine zaidi ya 15 wamejeruhiwa katika mripuko wa bomu uliotokea ndani ya msikiti wa Haji Bakhshi ulioko kwenye eneo la Shakar Dara viungani mwa mji wa Kabul wakati waumini walipokuwa wako kwenye ibada ya Sala ya Ijumaa hapo jana.
Habari ID: 3473910 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/15
TEHRAN (IQNA)- Magaidi wameua Waislamu 19 waliokuwa msikitini nchini Nigeria katika eneo la mpaka wa nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika na Mali.
Habari ID: 3473831 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/04/19
TEHRAN (IQNA)- Magaidi wameshambulia msafara wa wafanyaziara wa Imam Kadhim AS, Imam wa Saba wa Mashia katika eneo la Al Kadhimiya katika mkoa wa Baghdad nchini Iraq.
Habari ID: 3473719 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/03/09
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi wa Harakati ya Hekima ya Kitaifa ya Iraq haitauruhusu urudi tena nchini humo.
Habari ID: 3473648 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/14
TEHRAN (IQNA)- Magaidi huko Syria wameua watu wasiipungua 25 na kuwajeruhi wengine katika shambulio la kigaidi lililofanywa katika eneo la Deir ez-Zor mashariki wa nchi hiyo ya Kiarabu.
Habari ID: 3473511 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/31
TEHRAN (IQNA) - Askari wa Kikosi cha Kujitolea cha Wananchi Iraq (PMU) maarufu kama Hashdu Shaabi wamefanikiwa kuwaangamiza magaidi watano sambamba na kuzima hujuma ya kigaidi katika eneo la al-Oaista mjini Jurf al Nasr mkoani Babel, kusini mwa mji mkuu Baghdad.
Habari ID: 3473473 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/12/20
TEHRAN (IQNA) -Wanajeshi wa Ufaransa walioko nchini Mali wamedai kumuangamiza kinara wa operesheni za kigaidi za tawi la kaskazini mwa Afrika la mtandao wa kigaidi wa Al Qaeda.
Habari ID: 3473358 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/11/14
TEHRAN (IQNA) – Waalimu watano wa Qur'ani wameuawa baada ya kufyatuliwa risasi na magadi katika kikao cha kusoma Qur'ani Tukufu kusini mwa Somalia.
Habari ID: 3473182 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/18
TEHRAN (IQNA) - Umoja wa Mataifa unakadiria kuwa kuna magaidi zaidi ya 10,000 wa kundi la ISIS au Daesh ambao bado wanaendeleza harakati zao Iraq na Syria ikiwa imepita miaka miwili tokea kundi hilo lishindwe vitani katika nchi hizo.
Habari ID: 3473101 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/25
TEHRAN (IQNA) - Watu wasiopungua 16 wameuawa mjini Mogadishu Somalia na makumi ya wengine kujeruhiwa, kufuatia shambulio la magaidi wakufurishaji wa al-Shabab katika Hoteli ya Elite.
Habari ID: 3473076 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/08/17