Vyombo vya habari vya Kiarabu vyakiri
TEHRAN (IQNA)-Vyombo vya habari vya Kiarabu vimekiri kushiriki kwa wingi Wairani hasa wanawake katika uchaguzi wa rais wa awamu ya 12 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470986 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/20
TEHRAN (IQNA)-Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hujuma ya Marekani nchini Syria na kutoa wito kwa walimwengu kupinga sera kama hizo.
Habari ID: 3470922 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/04/08
Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Iran amelaani hatua ya Saudia kuwazuia Wairani kutekeleza ibada ya Hija mwaka huu na kusema hatua hiyo ni kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3470348 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/05/31
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuimarishwa uhusiano wa nchi hii na Afrika Kusini katika setka mbali mbali.
Habari ID: 3470268 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/24
Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa kubwa la Iran limefelisha njama za madola makubwa na Wazayuni za kueneza chuki dhidi ya Uislamu na chuki dhidi ya Iran.
Habari ID: 3470256 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/19
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, nguvu na uwezo wa Iran hauko dhidi ya majirani na nchi za ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3470251 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/17
Rais Hassan Rouhani
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano baina ya nchi za Kiislamu ni kati ya vipaumbele vya awali vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470247 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/04/15
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempa mkono wa kheri na fanaka Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa kuwadia mwaka mpya wa 1395 Hijria Shamsia.
Habari ID: 3470209 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/22
Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema nchi hii inalenga kuwa na ustawi wa kiuchumi wa asilimia tano katika mwaka mpya wa Kiirani ulioanza Machi 20.
Habari ID: 3470208 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/03/20
Rais Rouhani wa Iran
Duru ya 29 ya mkutano wa Umoja wa Kiislamu imeanza leo hapa mjini Tehran kwa hotuba ya Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambaye amesisitiza kuhusu ulazima wa Waislamu kuungana.
Habari ID: 3469883 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/27
Rais Hassan Rouhani wa Iran anatazamiwa kutoa hotuba katika ufunguzi wa mkutano wa 29 kimataifa wa Umoja wa Kiislamu Jumapili hapa mjini Tehran.
Habari ID: 3469673 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/26
Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Uislamu ni dini ya upendo na amani na siku zote inapinga na kukataza utumiaji mabavu na uchupaji mipaka.
Habari ID: 3462297 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/12
Rais Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inataka kuchangia katika utulivu na maendeleo ya eneo la Mashariki ya Kati na kuimarisha umoja na mshikamano katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3460265 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/12/06
Rais Rouhani
Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Ufaransa wametangaza utayarifu wa nchi hizo mbili kwa ajili ya kushirikiana katika masuala ya usalama na habari za kipelelezi katika fremu ya mapambano dhidi ya ugaidi.
Habari ID: 3454175 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/18
Rais Hassan Rouhani wa Iran leo amelaani hujuma za kigaidi katika mji mkuu wa Ufaransa ambapo zaidi ya Wafaransa 160 wameuawa.
Habari ID: 3448030 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14
Watu wasiopungua 160 wameuawa katika mji mkuu wa Ufaransa, Paris Ijumaa usiku katika mashambulizi yanayosadikiwa kuwa makubwa zaidi nchini humo tangu baada ya Vita vya Pili vya Dunia.
Habari ID: 3448027 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/14
Rais Rouhani wa Iran
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Qur'ani Tukufu kuwa ni kitabu cha nuru na uongozi na kuongeza kuwa yeye daima huanza siku yake kwa kusoma kurasa kadhaa za kitabu hicho kitakatifu.
Habari ID: 3444795 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/08
Rais Hassan Rouhani
Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran itaendelea kwa nguvu zake zote kupambana na njama za mabeberu.
Habari ID: 3443715 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/11/04
Kiongozi Muadhamu
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei amesisitiza kuhusu kulindwa maslahi ya taifa la Iran katika utekelezwaji mapatano ya nyuklia kati ya Iran na madola sita makubwa duniani.
Habari ID: 3391463 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/21
Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza umuhimu wa kudhaminiwa usalama wa mahujaji katika ibada ya kila mwaka ya Hija.
Habari ID: 3385427 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/14