iqna

IQNA

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: wakati Marekani inajiingiza kila mahali kwa kuzusha fitna na kuleta ufisadi, kila mara inatilia shaka kuwepo na kujishughulisha Iran na masuala ya eneo la Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3471422    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/09

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika mkutano na maulamaa wa Syria
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema, " Ni matumaini yetu sote tutaiona siku ambayo mtasali sala la jamaa mjini Quds na siku hiyo haiko mbali tena bali itafika karibuni hivi, ni sawa tu kama watu kama sisi tutakuwa bado tupo au hatupo tena".
Habari ID: 3471412    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/03/02

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amebainisha masikitiko yake makubwa kutokana na kuuawa watu wasio na hatia katika hujuma za hivi karibuni za kigaidi nchini Afganistan na kusema: "Lengo la Marekani katika kuhamishia Afghanistan magaidi wa ISIS (Daesh) ni kuhalalisha uwepo wake katika eneo sambamba na kudhamini usalama wa utawala wa Kizayuni."
Habari ID: 3471376    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/30

TEHRAN (IQNA) Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, amemuandikia barua Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akishukuru na kupongeza sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusu Quds Tukufu.
Habari ID: 3471361    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/01/19

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imesimama kidete kukabiliana na njama za kambi ya ubeberu na Uzayuni za kutaka kuzusha vita na mivutano baina ya Waislamu na itaendelea kukabiliana na kambi hiyo na kupata ushindi katika mpambano huo kwa idhini ya Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3471277    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/24

Ayatullah Sayyid Ali Khamenei
TEHRAN (IQNA)-Amirijeshi Mkuu wa vikosi vyote vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo na nguvu za kiulinzi za Iran si kitu cha kujadiliwa kabisa kama ambavyo zana zozote za ulinzi na kitu chochote kile kinacholeta nguvu za taifa la Iran si kitu cha kufanyiwa muamala wa aina yoyote ile.
Habari ID: 3471230    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/10/25

TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, amekwenda katika Msikiti wa Imam Husain AS hapa Tehran na kuusomea Faatiha mwili mtoharifu wa shahid Mohsen Hojaji, aliyeuliwa shahidi na magaidi wa Daesh au ISIS wakati akilinda Haram ya mjukuu wa Bwana Mtume Muhammad SAW, Bibi Zaynab al Kubra AS nchini Syria.
Habari ID: 3471195    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/27

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA)-Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amekosoa kimya na kutochukua hatua jumuiya za kimataifa na wanaojigamba kuwa watetezi wa haki za binadamu kuhusiana na matukio ya maafa yanayojiri Myanmar.
Habari ID: 3471169    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/12

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
IQNA: Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametuma ujumbe kwa jumuiya za Kiislamu za wanafunzi wa vyuo vikuu barani Ulaya.
Habari ID: 3470804    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/01/21