iqna

IQNA

shule
Qur'ani na Palestina
IQNA - Programu khitma ya Qur'ani zilifanyika Jumatatu katika shule zaidi ya 20,000 nchini Iran na nchi kadhaa duaniani kuwakumbuka mashahidi mabarobaro Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478660    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/09

Jinai za Israel
RABAT (IQNA) - Shirika la Kiislamu la Elimu, Sayansi, na Utamaduni (ISESCO) limetoa tamko kali siku ya likilaani mashambulizi ya anga ya Israel dhidi ya shule mbili kaskazini mwa Ukanda wa Gaza kuwa ni "fedheha kwa ubinadamu" na "uhalifu wa kutisha".
Habari ID: 3477917    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/20

TEHRAN (IQNA)- Shule moja nchini Uingereza imewalisha wanafunzi Waislamu nyama ya nguruwe jambo ambalo limeibua hasira kali miongoni mwa wazazi.
Habari ID: 3475266    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/05/19

TEHRAN (IQNA)- Watoto wa shule moja ya Kiislamu wametkewa nyara na watu wasuojulikana ambao walishambulia shule yao katikati mwa Nigeria.
Habari ID: 3473964    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/05/31

Serikali katika maeneo mbali mbali duniani zimeafiki kufunguliwa shule na vituo vya elimu kwa sharti la kuzingatia kanuni za afya miezi saba baada ya kufunguwa kutokana na janga la corona.
Habari ID: 3473139    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/05

TEHRAN (IQNA)- Mwenyekiti Kitaifawa Baraza la Maimamu na Wahubiri Waislamu Kenya (CIPK) Sheikh Abdalla Ateka ametoa wito kwa wizara ya elimu nchini humo kuchukua hatua za kuzuia kuendelea kubaguliwa wanafunzi Waislamu katika shule za nchi hiyo.
Habari ID: 3471608    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/26

TEHRAN (IQNA)-Baraza Kuu la Waislamu Kenya , Supkem, limetoa wito kwa serikali kuchukua hatua za kuzuia kusumbuliwa wasichana Waislamu wanaovaa Hijabu wakiwa shule ni.
Habari ID: 3471334    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/31

TEHRAN (IQNA)_Wakaguzi wa shule nchini Uingereza wametakiwa kuwasaili wasichana Waislamu katika shule za msingi iwapo watapatikana wamevaa mtandio au vazi la Hijabu wakiwa shule ni.
Habari ID: 3471271    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/11/20

TEHRAN (IQNA)-Serikali ya Jimbo la Sokoto nchini Nigeria imezijumuisha madrassah 4,000 za Qur'ani katika mfumo rasmi wa elimu.
Habari ID: 3471168    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/09/12

TEHRAN (IQNA)-Waislamu nchini Kenya wanaendelea kujadili mtaala katika shule za Kiislamu maarufu kama Madrassah huku kukitolewa tahadhari ya kuingizwa misimamo mikali ya kidini katika mtaala huo.
Habari ID: 3471032    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/23

IQNA: Iran imealika nchi 70 kushiriki katika Mashindano ya Tano ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya wanafunzi wa shule .
Habari ID: 3470846    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/12

Mjumbe katika Baraza la Kaunti ya mji wa Kisumu magharibi mwa Kenya amekosoa uamuzi wa Mahakama Kuu kuwapiga marufuku wanafunzi Waislamu katika Kaunti ya Isiolo kuvaa Hijabu.
Habari ID: 2968360    Tarehe ya kuchapishwa : 2015/03/12