TEHRAN (IQNA) – Misikiti itaanza kufunguliwa tena nchini Morocco kuanzia Julai 15 baada ya kufungwa kwa miezi kadhaa ili kuzuia kuenea kwa kasi ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472945 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/09
TEHRAN (IQNA)- Sheikh Bujuma Albaz, Imamu na Khatibu katika Msikiti wa Mohammad wa Sita katika mji wa Bouznika ana sauti nzuri na yenye mvuto ya kusoma Qur'ani yenye kushabihiana na ile ya qarii mashuhuri wa Misri Abdul Basit Abdul Swamad.
Habari ID: 3472778 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/05/18
TEHRAN (IQNA)- Watu zaidi ya 4,300 wamekamatwa nchini Morocco katika kipindi cha siku chache zilizopita baada ya kukiuka sheria ya hali ya hatari ambayo inatekelezwa ili kuzuia kuenea ugonjwa hatari wa corona au COVID-19 katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
Habari ID: 3472662 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/04/13
TEHRAN (IQNA)- Madrassah zote za Qur'ani zimefungwa kwa muda Morocco na Oman kutokana na hofu ya kuoena ugonjwa wa COVID-19 maarufu kama corona.
Habari ID: 3472569 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/03/15
TEHRAN (IQNA)- Kongamano la kimataifa la masomo ya Qur'ani limefanyika katika mji wa Tangier nchini Morocco.
Habari ID: 3472058 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/07/28
TEHRAN (IQNA)- Morocco imejiondoa katika muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia katika vita dhidi ya Yemen.
Habari ID: 3471836 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/10
Baada ya kufanya utafiti
TEHRAN (IQNA)- Mwanasiasa wa mrengo wa kulia na mbunge wa zamani UholanzI, Joram van Klaveren aliyekuwa na chuki kubwa dhidi ya Uislamu ameibua gumzo nchini humo baada ya kutangaza kubadilisha msimamo wake na kusilimu.
Habari ID: 3471832 Tarehe ya kuchapishwa : 2019/02/06
TEHRAN (IQNA)-Kongamano la kimataifa kuhusu changamoto katika kazi ya tarjuma ya Qur'ani limefanyika Casablanca, Morocco hivi karibuni.
Habari ID: 3471758 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/12/02
TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Morocco imetangaza mpango wa kukarabati misikiti zaidi ya 1,000 nchini humo na imetaka ushirikiano wa sekta mbali mbali katika kufikia lengo hilo.
Habari ID: 3471755 Tarehe ya kuchapishwa : 2018/11/29
TEHRAN (IQNA)-Kuna madrassah za Qur'ani zipatazo 14,000 nchini Morocco ambazo zinatoa mafunzo ya Qur'ani kwa wanafunzi 450,000 ambapo asilimia 40 kati yao ni wanawake.
Habari ID: 3471294 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/04
IQNA: Qur'ani Tukufu ndicho kitabu kilichouzwa kwa wingi katika Maonyesho ya Kimataifa ya Vitabu, Casablanca, Morocco.
Habari ID: 3470857 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/19
Katika Mkutano wa Vyuo Vikuu vya Kiislamu Morocco
IQNA:Mkutano wa saba mkuu wa Umoja wa Vyuo Vikuu vya Ulimwengu wa Kiislamu katika kulinda utambulisho wa Kiislamu wa "Quds Tukufu" umefanyika nchini Morocco.
Habari ID: 3470852 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/02/16
Maulama na wasomi wakubwa walioshiriki katika kongamano la pili la kimataifa la 'Kuitafakari Qur'ani' lililomalizika nchini Morocco wamelaani vitendo vya ugaidi na makundi yenye misimamo mikali inayokinzana na mafundisho sahihi ya kitabu hicho cha Mwenyezi Mungu.
Habari ID: 3421794 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/31
Mkutano wa pili la kimataifa la kutafakari katika Qur’ani umefanyika nchini Morocco. .
Habari ID: 3410361 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/29
Makumi ya maelfu ya raia wa Morocco wamefanya maandamano makubwa mjini Casablanca kupinga hujuma za utawala haramu wa Israel katika msikiti wa al-Aqsa.
Habari ID: 3395088 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/27
Familia za makumi ya Mahujaji wa Morocco walioaga dunia katika maafa ya Mina karibu na mji mtakatifu wa Makka wamesema wataishtaki serikali ya Saudi Arabia kutokana uzembe uliosababisha kuaga dunia na kutoweka jamaa zao.
Habari ID: 3382524 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/10/06
Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu OIC imeitisha kikao cha dharura cha viongozi wa nchi za Kiislamu kujadili kadhia ya Quds na Msikiti wa Al Aqsa.
Habari ID: 3339755 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/07
Gazeti moja la Uingereza hivi karibuni limechapisha orodha ya misikiti 25 bora duniani kwa mtazamo wa usanifu majengo.
Habari ID: 3338961 Tarehe ya kuchapishwa : 2015/08/04
Baada ya kutoa mafunzo kwa Maimamu wa miskiti kutoka nchi kadhaa za Afrika, Morocco sasa imesema itatoa mafunzo kwa maimamu 50 kutoka Ufaransa.
Habari ID: 2625018 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/12/22
Wawakilishi wa Misri na Morocco wametia saini makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya kidini ikiwa ni pamoja na kubadilishana uzefu katika sekta ya uchapishaji na usambazaji wa nakala za Qur’ani Tukufu.
Habari ID: 1450407 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/09/15