iqna

IQNA

Harakati za Qur'ani Tukufu
RABAT (IQNA) - Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Morocco imetangaza tarehe ya mashindano ya kimataifa ya Qur'ani nchini humo.
Habari ID: 3477444    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/08/16

Kombe la Dunia Qatar
TEHRAN (IQNA) - Maelfu ya mashabiki Waislamu waliohudhuria mechi ya Morocco dhidi ya Ufaransa nchini Qatar walikariri tamko la Kiislamu la imani, au shahada, siku ya Jumatano, na kutuma ujumbe kwa Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron aliyekuwa uwanjani hapo.
Habari ID: 3476258    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/16

Kombe la Dunia la Qatar
TEHRAN (IQNA)-Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Soko ya Morocco, Abdel Razzaq Hamdallah hivi karibuni ameonekana akisoma Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3476224    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/09

TEHRAN (IQNA) - Watu wamefanya maandamano katika maeneo tofauti ya Morocco ili kutoa maoni yao ya kupinga kuhalalisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3476209    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/06

Usomaji Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Abdul Aziz al-Kar’ani ni imami katika Msikiti wa Al Ghazi Ayyaz Casablanca, Morocco.
Habari ID: 3476142    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/24

Ustawi wa Uislamu
TEHRAN (IQNA) – Waziri wa masuala ya Kiislamu wa Morocco alisema nchi hiyo inahitaji kujenga misikiti 200 kila mwaka.
Habari ID: 3475961    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/21

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) –Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur’ani Tukufu ya Morocco yalianza Jumanne na kumalizika leo katika mji wa Casablanca magharibi mwa nchi hiyo.
Habari ID: 3475850    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/28

Mashindano ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Mashindano ya 16 ya Kimataifa ya Qur'ani Tukufu ya Morocco yataandaliwa baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3475730    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/04

Waislamu na Michezo
TEHRAN (IQNA)- Mchezaji wa Morocco Noussair Mazraoui wa Bayern Munich na Msenegali Sadio Mane, ambao ni Waislamu, wamekataa kupiga picha wakiwa wamebeba glasi ya bia katika picha ya kila mwaka ya klabu hiyo ya Bavaria, Ujerumani kutokana na imani yao za kidini.
Habari ID: 3475713    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/31

Mgogoro
TEHRAN (IQNA)- Morocco imemuita nyumbani balozi wake wa Tunisia kulalamikia kitendo cha Rais wa Kais Saied wa Tunisia kumpokea kiongozi wa harakati ya Polisario inayopigania kujitenga eneo la Sahara Magharibi.
Habari ID: 3475698    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/29

Utamaduni wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Watanzania wamepokea kwa furaha maonyesho ya uchapishaji wa Qur’ani Tukufu na Hadithi yaliyofanyika jijini Dar Es Salaam.
Habari ID: 3475620    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/14

Uislamu nchini Morocco
TEHRAN (IQNA) – Mpango wa usaidizi unaolenga kuboresha hali ya kijamii na kiuchumi ya maimamu wanaosalisha misikitini kote nchini Morocco utatekelezwa nchini humo.
Habari ID: 3475416    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/23

Mapambano dhidi ya Israel
TEHRAN (IQNA)- Waandishi wa habari wa Morocco wamepinga kufunguliwa nchini humo ofisi za televisheni ya utawala haramu wa Israel ya i24 na wametaka zifungwa mara moja.
Habari ID: 3475374    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/14

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) –Sawa na idadi kubwa ya Waislamu katika nchi nyingine, raia wengi wa Morocco wanalazimika kufuta safari yao ya Hijja mwaka huu kutokana na gharama kubwa.
Habari ID: 3475373    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/13

TEHRAN (IQNA)- Harakati za Palestina za Hamas na Jihad ya Kiislamu zimelaani mkutano waliofanya mawaziri wa mambo ya nje wa nchi nne za Kiarabu na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika eneo linalokaliwa kwa mabavu la Naqab.
Habari ID: 3475084    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/28

TEHRAN (IQNA)- Serikali ya Morocco imetangaza hatua za kuhakikisha kutovurugwa usambazaji wa maji wa chakula na bidhaa za kimsingi ili kukidhi mahitaji ya raia katika mwezi mtukufu ujao wa Ramadhani.
Habari ID: 3475010    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/05

TEHRAN (IQNA)- Mtaalamu wa masuala ya Qur'ani kutoka Morocco amepongeza utaratibu bora katika mashindano ya kimataifa ya Qur'ani ya Iran mwaka huu.
Habari ID: 3475007    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/03/05

TEHRAN (IQNA)- Rais Abdelmadjid Tebboune wa Algeria amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio chanzo cha kuvurugika uhusiano wa nchi yake na Morocco.
Habari ID: 3474939    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/02/17

TEHRAN (IQNA)- Wananchi wa Morocco wameandamana katika miji mbalimbali ya nchi hiyo na kutangaza tena kupinga nchi yao kuwa na uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel unaotenda jinai kila leo dhidi ya wananchi madhulumu wa Palestina.
Habari ID: 3474716    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/12/24

TEHRAN (IQNA)- Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Wanazuoni wa Kiislamu (IUMS) amelaani hatua ya baadhi ya nchi za Kiarabu ya kuanzisha uhusiano na muungano na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kusaini mikataba ya mapatano na utawala huo ghasibu.
Habari ID: 3474612    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/28