IQNA – Taasisi za elimu za kitamaduni nchini Morocco zimekumbana na changamoto baada ya kuwasilishwa kwa kanuni mpya za kusaidia vituo binafsi vya Qur'ani.
Habari ID: 3480638 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/05
IQNA – Maelfu ya Wamoroko walikusanyika Jumapili katika mji mkuu, Rabat, kuonyesha mshikamano wao na watu wa Palestina na kulaani uhalifu unaoendelea wa utawala katili wa Israel katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3480541 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/14
IQNA – Tamasha la 10 la Kimataifa la Usomaji Qur'ani kwa Tajweed litafanyika Casablanca, Morocco, mwishoni mwa mwezi huu.
Habari ID: 3480028 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/10
Uislamu na Utamaduni
IQNA - Morocco inapanga kutafsiri tafsiri za Quran katika lugha ya Amazigh. Amazigh imekuwa lugha rasmi nchini Morocco tangu 2011.
Habari ID: 3479950 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/24
Mashindano ya Qur'ani
IQNA –Mashindano ya 5 ya Qur’ani ya Mohammed VI kwa ajili ya Maulamaa wa Kiafrika (wasomi) yamefungwa Fes, Morocco, kwa washindi kutangazwa.
Habari ID: 3479523 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/10/02
Mashindano ya Qur'ani
IQNA – Toleo la 5 la Mashindano ya Mohammed VI ya Qur’ani kwa Maulamaa wa Kiafrika yalianza katika mji wa Fes nchini Morocco siku ya Ijumaa.
Habari ID: 3479510 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/09/29
Harakati za Qur'ani
IQNA – Kozi za Qur’ani Tukufu katika Majira ya joto zinazotolewa katika shule za jadi za Qur’ani za Morocco, zinazojulikana kama Maktab, zimepokelewa vyema na watu wa nchi hiyo.
Habari ID: 3479271 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/08/13
Mashindano ya Qur'ani Tukufu
Wizara ya Wakfu na Masuala ya Kiislamu ya Morocco imetangaza kuwa toleo la 18 la Tuzo la Kimataifa la Mohammed VI la Kuhifadhi Qur'ani, Kutunga Zaburi na Kusoma litafanyika tarehe 3 na 4 Septemba.
Habari ID: 3479144 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/07/17
Wanafunzi nchini Morocco
IQNA-Ombi limetiwa saini na mamia ya wanafunzi na wahitimu katika chuo kikuu nchini Morocco, wakitaka kukatishwa kwa makubaliano ya ushirikiano na vyuo vikuu nane vya utawala haramu wa Israel.
Habari ID: 3479023 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/27
Usomaji wa Qur’ani Tukufu
Na mwanzo wa likizo za kiangazi, mipango ya kufundisha kukariri na usomaji wa Qur’ani Tukufu kwa watoto wa jamii ya wahamiaji wa Morocco imeanzishwa na taasisi za ndani za nchi hiyo.
Habari ID: 3479018 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/06/27
Watetezi wa Palestina
IQNA - Wanaharakati walifanya maandamano katika miji tofauti nchini Morocco kulaani hatua ya utawala wa kifalme nchini humo kuanzisha uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.
Habari ID: 3478825 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/05/15
IQNA - Morocco imepiga marufuku usambazaji wa jarida la Kifaransa ambalo lina katuni zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW). Serikali ya Morocco imesitisha usambazaji wa toleo namba 1407 la Marianne, ikitaja kuwepo kwa taswira zinazomvunjia heshima Mtume Muhammad (SAW).
Habari ID: 3478483 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/10
Turathi ya Kiislamu
IQNA - Miongoni mwa vitu vinavyoonyeshwa kwenye Maktaba ya Kitaifa ya Qatar ni nakala adimu ya Qur'ani Tukufu kutoka Morocco.
Habari ID: 3478442 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/03/03
Ustamaduni wa Kiislamu
IQNA - Watu katika mikoa ya kusini mwa Morocco wamekuwa wakirejea tena katika Maktab (shule za jadi za Qur'ani).
Habari ID: 3478202 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/16
Harakati za Qur'ani
IQNA – Duru ya 9 la Tamasha la Kimataifa la Usomaji Qur'ani Tukufu Kwa Tajweed litafanyika Casablanca, Morocco, baadaye mwezi huu.
Habari ID: 3478167 Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/08
Watetezi wa Palestina
IQNA - Wakati wa maandamano ya wafuasi wa Palestina huko Rabat, mji mkuu wa Morocco, siku ya Jumapili, maelfu ya raia wa Morocco walitoa wito wa kukatwa uhusiano na utawala wa Kizayuni unaoendelea kutekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
Habari ID: 3478090 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/25
Turathi ya Kiislamu
IQNA - Idadi kadhaa ya maandishi ya Qur'ani Tukufu na Kiislamu yameonyeshwa katika maonyesho ya utamaduni wa Kiislamu huko Casablanca, Morocco.
Habari ID: 3478083 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/12/24
Waislamu Morocco
RABAT (IQNA) - Kuna zaidi ya wavulana na wasichana 400,000 wanaohifadhi Qur'ani Tukufu katika Madrassah kote Morocco.
Habari ID: 3477881 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/11/12
Ulimwengu wa Kiislamu
RABAT (IQNA) – Klipu ya video inayoonyesha usomaji wa Qur’ani Tukufu watoto nchini Morocco katikaeneo lililokumbwa na tetemeko la ardhi lililosababishauharibifu mkubwa hivi majuzi imesambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Habari ID: 3477595 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/14
RABAT (IQNA) - Zaidi ya watu 2,000 wamepoteza maisha baada ya tetemeko kubwa la ardhi la ukubwa wa 6.8 kwa kipimo cha rishta, ambalo lilikuwa na nguvu zaidi kuwahi kuikumba nchi hiyo katika miongo sita. Zilzala hiyo iliisubu Morocco siku ya Ijumaa usiku.
Habari ID: 3477579 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/11