iqna

IQNA

IQNA-Mshambuliaji wa timu ya soka ya Liverpool, Mohamed Salah amekosoa hatua ya Muungano wa Vyama vya Soka vya Ulaya UEFA ya kumuenzi Suleiman Al-Obeid, anayejulikana kama "Pele wa Palestina," baada ya bodi inayosimamia soka ya Ulaya kutoelezea mazingira ya kifo chake wiki hii.
Habari ID: 3481065    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/10

TEHRAN (IQNA)-Shirika la mavazi ya michezo la Nike limeanza kuuza 'Hijabu ya Wanamichezo' ambayo ni maalumu kwa wanamichezo wa kike Waislamu wanaotaka kujisitiri.
Habari ID: 3471305    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/12/11

IQNA: Shirika la bidhaa za micehzo la Nike limechukua hatua ya kuingia katika sekta yenye faida ya mavazi ya wanawake Waislamu kwa kuzindua Hijabu maalumu ya kuvaliwa na wanamichezo .
Habari ID: 3470886    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/09