iqna

IQNA

Taarifa
IQNA-Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la nchini Iran (IRGC) limetoa taarifa na kutangaza kuwa kambi ya Muqawama, hususan wanamapambano shupavu na mashujaa wa Palestina, hatimaye itamaliza na kuyakatisha maisha ya aibu ya utawala wa Kizayuni wa Israel ambao unakaliwa ardhi za Palestina kwa mabavu.
Habari ID: 3480490    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/04/04

Hali Nchini Syria
IQNA – Kinara wa kundi la Hay’at Tahrir al-Sham (HTS), ambalo limenyakua Madaraka Syria, ameripotiwa kutoa maagizo juu ya kulinda Haram Tukufu ya Baibi Zainab (SA)  karibu na mju mkuu Damascus.
Habari ID: 3479939    Tarehe ya kuchapishwa : 2024/12/22

Hali nchini Syria
TEHRAN (IQNA)- Ujumbe wa maspika na wabunge wa mabunge ya nchi za Kiarabu uliwasili Damascus, mji mkuu wa Syria siku ya Jumapili kuonyesha mshikamano na nchi hiyo kufuatia matetemeko makubwa ya ardhi yaliyosababisha vifo vya maelfu ya watu nchini Syria na Uturuki.
Habari ID: 3476631    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/02/27

TEHRAN (IQNA)- Televisheni ya taifa ya Syria imetangaza kuwa askari 14 wa jeshi la nchi hiyo wameuawa na wengine watatu wamejeruhiwa katika shambulio la bomu lililolenga basi lililokuwa limebeba askari hao mapema leo.
Habari ID: 3474449    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/10/20

IQNA-Mabomu mawili yamelipuka katika mji mkuu wa Syria Damascus katika eneo lililo karibu na Haram ya Bibi Sakina SA na kupelekea wafanya ziara wasiopungua 45 kuuawa shahidi.
Habari ID: 3470889    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/03/11