Rais wa Iran akimpokea Balozi wa Vatican
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kutoa mazingatio kwa Mola Muumba na suala la umanaawi ni jambo la udharura mkubwa hii leo kwa jamii ya mwanadamu.
Habari ID: 3474593 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/23
Rais Raisi wa Iran katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo hapa Tehran na Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki na kusisitiza kuwa: Iran na Uturuki zinapasa kujiandaa kuimarisha uhusiano wa sasa kuelekea kwenye ushirikiano wa pande zote.
Habari ID: 3474561 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/15
TEHRAN (IQNA) -Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu wa Iran amesema kushindwa kijeshi na kuondoka Marekani Afghanistan inapasa kuwe ni fursa ya kufufua maisha, amani na usalama endelevu ndani ya nchi hiyo.
Habari ID: 3474197 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/16
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika kikao cha Kamati ya Kitaifa ya Kupambana na Corona kwamba tayari ameidhinisha kununua dozi milioni 30 za chanjo ya COVID-19.
Habari ID: 3474190 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/14
Katika mkutano na Waziri wa Mambo ya Nje wa Nigeria
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran na Nigeria zimekuwa zishikishirikiana vyema katika nyanja mbalimbali.
Habari ID: 3474164 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/06
TEHRAN (IQNA)- Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuna fursa nyingi na nzuri za kuboresha na kustawisha kiwango cha uhusiano baina ya Iran kwa upande mmoja na Tanzania na Zanzibar kwa upande mwingine.
Habari ID: 3474163 Tarehe ya kuchapishwa : 2021/08/06
Vyombo vya habari vya Kiarabu vyakiri
TEHRAN (IQNA)-Vyombo vya habari vya Kiarabu vimekiri kushiriki kwa wingi Wairani hasa wanawake katika uchaguzi wa rais wa awamu ya 12 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
Habari ID: 3470986 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/05/20