IQNA – Mkusanyiko wa turathi za kitamaduni na kazi binafsi za Qur’an za Marehemu Sheikh Farajullah Shazli, mmoja wa maqari mashuhuri wa Misri, umewasilishwa kwa Idhaa ya Qur’an ya nchi hiyo.
Habari ID: 3481091 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/08/16
Inna Lillah wa Inna Ilayhi Rajioun
TEHRAN (IQNA)-Qarii mashuhuri wa Qur’ani Tukufu kutoka Misri Ustadh Farajullah Al-Shadhili ameaga dunia Jumatatu tarehe 10 Ramadhani, sawa na 5 Juni.
Habari ID: 3471010 Tarehe ya kuchapishwa : 2017/06/06