iqna

IQNA

TEHRAN (IQNA)-Waislamu wa eneo la Qatif nchini Saudi Arabia wanaombolezo mauji ya kidhalimu mwalimu wa Qur'ani Tukufu, Amin al Hani, aliyepigwa risasi na kuuwa shahidi na wanajeshi wa utawala wa kiimla wa Saudi Arabia.
Habari ID: 3471044    Tarehe ya kuchapishwa : 2017/07/01